HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

16 August 2012

HATUKUA NA CHAGUO JINGINE ZAIDI YA KUMUUZA


 Arsenal Manager Arsene Wenger waves to fans
 Kocha wa Arsenal  Arsene Wenger amesema kuwa washika mizinga  walikuwa hawana  chaguo jingine zaidi ya kumuuza Nahodha wao Robin Van kwa mahasimu wao wakubwa Manchester united Sir Alex Ferguson's Alithibitisha usiku wa kuamki leo kuwa wamekubaliana kulipa pauni milioni   £24 ambaye leo atakuwa akifanyiwa uchunguzi wa kiafya na kukamilisha makubaliano binafsi Bahati mbaya yupo Manchester United, sio habari nzuri kwetu .tulikwisha maliza makubaliano tangu jana mchana alisema Wenger ambaye hufanya akzi pia katika chaneli moja ya TV ya ufaransa  TF1.Ni kosa kubwa kumpoteza aina mchezaji wa kiwango chake lakini alikuwa na mkataba wa mwaka mmoja na hatukua na chagua jingine.Tumeshafundisha wachezaji wengine tangu tumnunue  (Olivier) Giroud and (Lukas) Podolski Ambao walikuja kwa ajiri ya kuziba pengo lake .alimaliza kusema arsene wenger aidha katika makubaliono mengine arsenal itaendelea kupata hela zaidi kama mchezaji huyo atasaidia kutwaa ubingwa wa ulaya au ligi ya uingereza 

1 comment:

  1. HUYU BABU ANATAKA KUTUUMIZA VICHWA KWA UWEZO WAKE MDOGO WA KUFIKIRI NA KUWEKA MBELE TAMAA ZA HELA PASIPO KUTULETEA SISI MASHABIKI FURAHA I HALI ANAJUA SISI NDO TUNAMFANYA AWEPO PALE, WASWAHILI WANASEMA KWAMBA "ADUI MUOMBEE NJAA" SASA NASHANGAA BABU ANAMUOMBEA ADUI SHIBE TUTAISHIA KUGOMBEA NAFASI YA NNE KILA MSIMU.

    ReplyDelete

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers