HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

13 August 2012

HIVI LONDON ILIVYOFUNGA MASHINDANO YA OLIMPICK


 Flags and Olympic volunteers

Hawa ni moja ya vikundi vya ushereheshaji vikutumbuiza kwa tamaduni za kiingereza

 Cauldron and stadium at night time
Hiki ni kiwanja cha Cauldron kinavyokuwa nyakati za usiku ambapo ndio mashindano yalipofanyika


Flag carriers at the stadium

Hili kundi la vijana ambalo limebeba bendera za nchi shiriki kama yako uioni basi mlishika nafasi ya mwisho
Athletes entering stadium with flags

Hawa ni baadhi ya wanariadha wakiingia kupereka benderea zao na kuzunguka nazo kiwanjani.


Huu ni uwanja wa olimpick park muonekano wa juu ambapo ndipo balaa lenyewe lilpokuwa nikifanyika .

Mashindano yajayo ya olimpick yatafanyika tena 2016 huko Rio De Janeiro Brazil bila shaka Brazil watatuonyesha mengi ikiwemo CAPOIERA,SAMBA,MONTUNO na mingine

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers