19 August 2012

IDDY PILI NI MASUMBWI NDANI YA UWANJA WA CHUO CHA BANDARI







 Bondia David Michael Mlope (Zola D – King) akitunishiana msuli na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo) wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya idi pili katika Uwanja huo huo wa Chuo cha Bandari Temeke.
Mwenyekiti wa SHIWATA Cassim Taalib katikati akiwainua mikono juu mabondia  David Michael Mlope (Zola D – King)  kushoto na Alpjonce Joseph (Mchumiatumbo)


No comments:

Post a Comment