23 August 2012

KASIM HADJI APIGWA CHINI ZDFA



Hatimae katibu mkuu wa Shirikisho la soka zanzibar(ZFA) asimamishwa kazi baada ya kungundilika kuwa  hajui  mambo mengi yanayohusu elimu hasa  kutokujua kutumia COMPUTER. Taarifa iliyotolewa na mjumbe wa kamati tendaji ya ZFA Hafidhi ally Twahiri kwa niaba ya Rais wa ZFA Aman Makungu ilisema sio kwa Katibu mkuu pekee ila yeyote atakae kwenda kinyume na mabadiliko ya kutaka kuisafisha ZFA atasimamishwa kazi. Taarifa hiyo imetolewa leo mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa zanzibar ocean view hotel.









No comments:

Post a Comment