26 August 2012

Liverpool 2 - 2 Man City FT

Carlos Tevez celebrates scoring for Manchester City
Martin Skrtel's Angeweza kuwa shujaa hii leo baada ya kuifungia timu yake goli la kwanza kabla ya yaya Toure kusawazisha, lakini Suarez alifunga goli la pili  kwa mpira wa adhadu na kuipatia Lverpool goli la kuongoza lakini Martin Skrtel' alikuwa mtu mwenye bahati zote mbili leo mbaya na nzuri lakini kabla ya mpira kumalizika alirudisha mpira wenye kasi ndogo kwa beki wa kati ambaye alikuwa pembeni ya mashariki mwa uwanja ilikuwa ni rahisi kwa VILLA LA NATA yaani mji Mdogo uliosafi Carlos Teves ambaye alifunga goli la kusawazisha kwa timu yake  na ngoma kwenda suluhu  ya mbilimbili katika uwanja wa anfiled.

Roberto Mancini (left) and Brendan Rodgers at Anfield Roberto Mancini na Brendan Rodgers pichani walikuwa na haya ya kusema baada ya mechi

SIKIZA HAPA : ROBERTO MANCINI  
Kocha huyo wa Manchester city amekiri kuwa ilikuwa mechi ngumu na suluhu ni kama ushindi kwao 

SIKIZA HAPA Brendan Rodgers

Aidha Brendan amesema kuwa amesikitika sana kutoa suluhu kwani ushindi ulikuwa kitu muhimu kwao
  SIKIZA HAPA  YAYA TOURE
Naye yaya toure anasema ilikuwa ni mechi muhimu kwao na kulinda heshima ya timu kwa kubwa kama yao

No comments:

Post a Comment