19 August 2012

MABONDIA WAPIMA UZITO


Bondia Sande Kizito wa Uganda akipima Uzito leo kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa IBF Africa  litakalofanyika katika ukumbi wa Diamond Jublee kushoto ni Mpinzani wake Ramadhani Shauri  pambano hilo litafanyika kesho siku ya Iddy Pili.

Rais wa TPBO Yasin Abdallah kulia akepeana mkono wa iddy na Mtangazaji wa Radio Times fm ,Maalim Shaban  Kondo walipokutana katika kushuhudia zoezi la upimaji uzito hasa  wakati huu wa sikukuu ya iddy




No comments:

Post a Comment