20 August 2012

MANENO AMTANDIKA MATUMLA KWA POINT



 Maneo  Oswald  Akijaribu  Kutupiana  Ngumi na   Rashidi  Matumla  katika pambano lisilio la ubingwa katika sikukuu ya Eidy lililofanyika katika ukumbi wa dar live mabagala jijini Dar es Salaam. 

 

 Bondia Rashidi Matumla kushoto akioneshana umwamba wa kutupa masumbwi na Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa Dar live Maneno alishinda kwa point.

No comments:

Post a Comment