15 August 2012

MATUMLA AENDELEA NA MAZOEZI YA PAMBANO LAKE NA OSWALD



  
Kocha  Mkongwe wa mchezo wa Masumbwi nchini  Habibu Kinyogoli 'kushoto' akimfua bondia Rashidi Matumla wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Matumla anajiandaa na kupambana na Maneno Osward siku ya Idi mosi litakalofanyika katika ukumbi wa Dar Live.

No comments:

Post a Comment