19 August 2012

NURI SAHIN KUZIBA MACHUNGU YA MASHABIKI WA ARSENAL







Nuri Sahin
 Klabu ya arsenal Baada ya kuuza wachezaji wawili Alex song na Van Persie , inakaribia kumsainisha kwa mkopo wa muda mrefu Nurin Sahin Kutoka Real Madrid mwenye miaka 23 ambaye pia Liverpool imeshaanza kumtolea Macho aidha mchezaji huyo anapendelea kujianga na Arsenal kwa mkopo ikiwezekana kusaini moja kwa moja.








No comments:

Post a Comment