9 August 2012

RUDISHA KARUDISHA NISHANI YA DHAHABU NA KUVUNJA REKODI YA DUNIA




David Lekute   Rudisha Amekuwa mwanaridha wa kwanza kuweka rekodi ya dunia katika mashindano ya olimpick hapa london baada ya kushinda mita mia nane na kupata nishani ya dhahabu kijana huyo mwenye miaka 23 amekuwa kiajan wa kwanza kushinda mashaindano hayo kwa kutumia dakika 1sekunde 41 nukta 91 kama inavyonekana kwenye picha hapo juu  Nijel Amos KUTOKA Botswana amepata nishani ya fedha huku mkenya mwingine akishika nafasi ya tatu Timothy Kitum .

Rudish amesema anajiskia furaha sana huu ndio wakati alikuwa akiusubiri kwa hamu na nimesubiri kwa muda mrefu sana .siwezi amani kama nimeshinda niliajiandaa vizuri  na kila kitu kilikuwa sawa.




No comments:

Post a Comment