25 August 2012

TENGA AFAFANUA KENYA ILIPOCHEMKA KUANDAA CHALENGE



Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania na Mwenyekiti wa baraza la vyama vya soka afrika mashariki na kati Cecafa Leodgar chila tenga amefafanua jinsi Kenya ilivyopokonywa uenyeji wa mashindano ya Kombe la Chalenge na kupewa Nchi ya Uganda ambayo chama chake cha soka kimebadili katiba ya  wiki hii.
SIKIZA HAPA

No comments:

Post a Comment