22 August 2012

TENGA AKAZIA MAMBO MAWILI MUHIMU


 



 Rais wa shirikisho la mpira miguu la Tanzania Tff Leodgar Chila tenga amesema anawashangaa watu wanaoanza kufanya kampeni kabla ya katiba ya chama hicho kutoa idhini ya kuanza kwa kampeni hata yeye amesema Azungumzii habari uchaguzi kwasababu kuna mambo mengi ambayo bado hayajafanyika kuhusu maendeleo ya soka Tanzania amezungumza Leo hii alipokuwa akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari .
SIKIZA 


Aidha akaongeza kwa kusema kuwa angependa kuona vilabu vinafanya usajiri kwa mujibu wa benchi la ufundi na sio kundi la watu kwani endapo benchi la ufundi halitafanya kazi yake basi hata timu haiwezi kuwa bora.
SIKIZA


No comments:

Post a Comment