10 August 2012

USA YAIZIMA JAPAN 2-1 YATWA DHAHABU WANAKWE

 Mlinda mlango wa marekani Hope solo akishangilia goli baada ya Carli Loyd kufunga goli katika kipindi cha kwanza.
2 vs 1
Japan Women
August 9, 2012 6:45 PM UTC
Wembley Stadium — London
Referee:‬ B. Steinhaus‎ 
Carli Lloyd Jezi namba kumi akifunga goli kwa kichwa katika kipindi cha kwanza dhidi ya japana katika fainali ya mashindano ya olimpick mchezo ulichezwa kwenye uwanja wa wembley jijini london .

 
Carli Lloyd  Jezi namba Beki wa timu ya soka ya taifa ya wanawake ya marekani Amy Lepeilbet kushoto akigombania mpira na kiungo wa timu ya taifa ya japan Nahomi Kawasumi Katika mchezo wa fainali ya michauno ya olimpick kwa wanawake alhamisi tar 9

No comments:

Post a Comment