30 August 2012

UWANJA WA MAO SEITUN UNGUJA KUFANYIWA MAREKEBISHO



Habari kutoka Zanzibar zinasema kuwa shirikishola soka la zanzibar limeanza ukarabati wa uwanja huo wa kihistoria uliojengwa Mao seitun huko unguja ambao sasa upo katika hari mbaya kwa mujibu wa taarifa kutoka zanzibar zinasema kuwa tayari kimeshaanza kufukiliwa na kujengwa kisima cha maji   kuanza taratibu za kuweka nyasi npya na kuanza kuboresha baadhi ya maeneo ya uwanja  ikiwemo pamoja na kuweka nyasi bandia katika uwanja huo ili ligi ya zanzibar ianze kuchezwa katika uwanja huo .

No comments:

Post a Comment