Klabu ya soka ya Dar es salaam young
Africas inatarajia kuondoka tarehe 22 mwezi kuerekea Kigali Rwanda' kucheza mechi tatu
za kirafiki dhidi APR ,Polisiya Kigali na Layon Sport mechi tatu zinaweza kuisadia
yanga kwa mujibu wa msemaji wa timu hiyo Louis sendeu amesema kuna uwezekano
mkubwa kutokuwepo mechi dhidi ya AFC Leopard ya Kenya ukaota mbawabaada ya ratiba ya matumizi ya uwanja wa
taifa kuwa magumu kwani kwa mujibu wa wizara uwanja huo utatumika kwa mechi
moja tu kwa maana hiyo mchezo kati ya yanga na African lyon au Coast Union ya
tanga utakuwepo kama kawaida siku ya
jumatatu na timu hiyo itaanza safari ya kuelekea Nchini Rwanda sendeu amesema
kuwa mechi za kirafiki zinafanywa kama benchi la ufundi la klabu ya soka yanga
lilivyo hitaji vilevile wachezaji wote ambao walikuwemo katika kikosi cha timu
ya taifa ya vijana Ngorongoro Heroes waliokwenda Nigeria na wachezaji ambao walikuwa kwenye timu ya
taifa ya Tanzania dhidi ya Botswanawameshajiunga na timu hiyo katika mazoezi ya
timu hiyo yenye maskani ya jangwani wachezaji hao ni Said Bahnuz ,Athuman
Iddy,na Kelvin Yondaniambao ni
wachezaji muhimu kwa klabu hiyo .
No comments:
Post a Comment