31 August 2012

WENYEVITI WA KAMATI ZA USAJIRI SIMBA NA YANGA WAFUNGUKA K-SPORT.COM


 
Mwenyekiti wa kamati ya usajiri ya simba zacharia Hans pope amesema lazima pesa walizo tumia kumsajiri mbuyu twite zirudishwe na kama hazita rudishwa basi lazima watakwenda kushitaki Mahakamani   
SIKIZA HAPA






Aidha mwenyekiti wa usajiri wa klabu ya yanga
kwa upande wake   seif Magari anafafanua kwa ufupi pesa zinazo hitajika zilipo!


SIKIZA HAPA

Aidha mwenyekiti wa Simba Ismael Aden Rage Amesema kuwa anachojua kuwa fedha ziko yanga na wanasubiri tu ni lini fedha hizo zitaletwa akaongeza kuwa kitendo cha mchezaji huyo kupewa jezi yenye jina lake haoni shida kwani ni mambo ya soka tu hayo.

No comments:

Post a Comment