7 September 2012

BFT INAPOJIANDAA NA MASHINDANO YA TAIFA BILA FEDHA



Shirikisho la ngumi la Ridhaa la Tanzania BFT linajiaanfa kufanya mashindano ya ngumi ya taifa hivi karibuni katika uwanja wa ndani wa taifa hasa  katika kujiandaa na mashindano mbalimbali  ya  kimataifa Makore Mashaga ni katibu mkuu wa shirikisho hilo anasema kuwa bado kuna kazi kubwa ya kufanya kwani shirikisho hilo halipati Ruzuku kutoka serikalini.

No comments:

Post a Comment