21 September 2012

Frimpong, Rosicky na Sagna

 


Manchester City v Arsenal
Barclays Premier League
Sunday, September 23, 2012, 16:00

Arsène  Wenger   ametoa taarifa  kuhusu wachezaji wake watatu  katika mechi inayofuta ya ligi ya premier dhidi  Manchester City
 Emmanuel Frimpong
Ana karibia kuwa sawa  kuliko wilshere katika utimilifu wa kucheza Mechi  amejitahidi  kwa muda mrefu kuwa sawa  na sasa yupo tayari  kucheza  
Rosicky na Sagna
Sagna bado juma moja kuwa sawa ili kuanza kuanza mazoezi ya nguvu Rosicky Bado  wiki mbili 



No comments:

Post a Comment