3 September 2012

LAZIMA KUIBUA VIPAJI VYA WAAMUZI

Kutoka kushoto ni kapteni mstaafu wa jeshi la wananchi wa tanzania Stanley Lugenge amesema kwa sasa tanzania haina budi  kukubariana na mageuzi ya soka hasa katika fani ya uamuzi kwani  inatakiwa katika mashindano ya watoto kupata waamuzi ambao na wao watakuwa lika moja na wenzao ili kuweza kujifunza angali wakiwa wadogo nini maana ya kuchezesha soka 
SIKIZA HAPA


No comments:

Post a Comment