17 September 2012

Ligi Kuu Zanzibar Chipukizi 3 - Jamhuri - 0

 

Mlinzi wa timu ya Jamhuri Mohamed Othuman Mmanga (16) akimdhibiti mshambuliaji wa timu ya Chipukizi Abdullatif Abdallah,  katika lango lake, kwenye mchezo wa ligi Kuu ya Zanzibar ‘Grand Malt’ mchezo uliochezwa jana uwanja wa Gombani Pemba, ambapo Chipukizi ilifanikiwa kutoroka na magoli 3-0 dhidi ya Jamhuri (picha na Haji Nassor, Pemba)

No comments:

Post a Comment