1 September 2012

Mao Dze Dong ZANZIBAR WAANZA KUKARABATIWA

Uwanja wa Mao ukiwa katika matengezezo Makubwa ili  uwanja huo ili uwe na muaonekano wa Kimataifa na Kitaifa, Matengenezo hayo yanasimamiwa na Uongozi wa Taifa ZFA
 

Huu ndio uwanja wa Mao unavyoonekana sasa ukiwa katika hari ambayo siyo ya kuridhisha 

 


Hizi ndizo vikalio vilivyojengwa zama hizo je wewe wawezakaa babu zako waliweza sasa unakarabatiwa bila shaka utawekwa na viti .

No comments:

Post a Comment