17 September 2012

MASHINDANO YA NGUMI TAIFA YAANZA UWANJA WA NDANI TAIFA

Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Hussein Khasim akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu
Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo  Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu

No comments:

Post a Comment