15 September 2012

MASHINDANO YA TENNIS WALEMAVU GYMKHANA CLUB


 Yohana Mwila akipeana mikono  na MosesMabula mara ya  baada ya mechi ya jana  kwenye viwanja vya Gymkhana ambavyo ni maarufu kwa kama kijiji cha michezo hasa kama Golf mpira wa miguu vishale
 

Mchezaji mwenye ulemavu Benard Anthony akirudisha mpira kwa mpinzani wake Thomas Jacob kwenye mashindano ya Tenisi yanayodhaminiwa na Simba Cement kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment