21 September 2012

MASUMBWI YAFIKA TAMATI UWANJA WA NDANI TAIFA


Bondia Nuru Ibrahim kg 91 wa Magereza akiwa amelala chini baada ya kupokea konde zito Haruna Swanga wa Ngome jana kwenye fainali za ngumi za ridhaa zilizokuwa zinafanyika uwanja wa ndani Taifa, Swanga aliibuka bingwa.(1134, 1111)
Bondia wa kike Mather George (red) akimrushia konde Irene Kimaro wa Tabora kwenye mchezo wa fainali kg 49 na Mather George alishinda
1150, 1164) Bondia wa kike Ester Kimbe  kg 49 wa  ngome (red) akidhihirisha kuwa anajua ngumi dhidi ya Mariam Nyerere wa (Dodoma) kwenye fainali za ngumi za ridhaa zilizofanyika uwanja wa ndani wa Taifa.

No comments:

Post a Comment