6 September 2012

RT YASIKITIKA KWA KUKOSA TENA PESA


 


Mwenyekiti wa chama Riadha za Tanzania Antony Mtaka amesiskitishwa na Baadhi ya mikoa kushindwa kupata Udhamini hasa katika kutafuta timu ya kushiriki mashindano ya riadha ya taifa yanyaofanyika kesho 7/9/13 katika uwanja wa taifa baadhi ya mikoa imeshindwa kuleta timu kutokana na ufinyu wa pesa na kuathiri kabisa ushiriki wa mashindano hayo .
SIKIZA HAPA

No comments:

Post a Comment