HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

17 September 2012

SIJAWAHI KUSHUHUDIA HOTEL HII TANGU NIZALIWE




Kocha mkuu wa timu ya soka ya Dar es salaam Young African ameeya staajabu ya filauni kama si ya Musa pale alipokwenda mkoani mbeya na kufikia katika hotel iliyojulikana kwa jina la safari kuwa hajawahi kushuhudia hotel mbovu africa nzima kama hotel hiyo ya mkoani mbeya kuwa haina vigezo kabisa katika kupokea timu kubwa kama yanga kwakua haina huduma inazotakiwa kuweza kuiifadhi klabu kama yanga africans
SIKIZA HAPA 



  
Aidha kocha huyo wa yanga amezungumzia mchezo wao unafuata dhidi ya mtibwa sukari na kusema kuwa si timu rahisi kuifunga lazima timu yake ifanye kazi ya ziada ili iweze kuibuka na ushinda mara baada ya kutoka suluhu na prison ya mbeya kwenye uwanja wa kumbukumbu sokoine
SIKIZA HAPA




No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers