14 September 2012

TFF YAREKEBISHA BAADHI YA KANUNI ZA LIGI KUU


 



Shirikisho la mpira wa miguu limerekebisha baadhI ya kanuni za ligi kuu soka Tanzania bara zinazohusu klabu na Timu ya taifa baadhi ya marekebisho hayo yanahusisha zaidi mchezo ndani ya dakika tisini za mchezo  saad kaweemba ni Mkurugenzi wa masindano  katika shirikisho mpira wa miguu Tanzaania Saad Kawemba  anafafanua 
SIKIZA HAPA


No comments:

Post a Comment