2 September 2012

TP MAZEMBE YAITOUT PUISANT AHLY



   TP Mazembe toka Jamhuri ya Kidemokrasi ya watu wa kongo imeiondoa Ahly ya Masir katika uongongozi wa ligi ya mabngwa afrika baada ya kuitandika mabao mawili sifuri Mjini Lubumbashi magharibi mwa kongo jioni ya leo tar 2 /9/12 na kujihakikishia kucheza nusu fainali .Mshambuliaji kutoka tanzania    Mbwana Samata aliipatia timu yake bao la kuongoza katika kipindi cha pili  katika uwanja uliopo kusini mwa jiji la Lubumbashi Mukok Kanda aliongeza goli la pili kabla ya mchezo kuisha
 

No comments:

Post a Comment