14 October 2012

AMSTRONG AFIKIRIA KUPIMWA KWA DIGITALI


Mwendesha baskeli kinara Ulimwengu  Lance Amstrong anajiandaa kwenda kupima katika kipimo kinachogundua kama alidanya au amakudanya kinachotumia mfumi wa Digital ambapo mwanasheria wake ametoa wazo hilo ,huku  vigezo vingine vikisema alitumia Dawa kuongeza nguvu  Ambavyo vilimkatisha vilimkatisha tamaa.

wakati Amstrong akiwa amekataa kujishughurisha mashtaka yanayo mkabiri mwanasheria wake mkuu amesisitiza anaandaa utaratibu wa kutaka mteja wake atazamwe katika kifaa kinachogundua kama alidanganya au hakudanya ili kuthibitisha kuwa mteja wake ni mwaminifu .

Tim Herman  Amesema Armstrong  amesema angekubali mtazamo wa mashuhuda 26 Ambao walitoa ushahidi kuhusu yeye wangefanya kama mwanzo kama ilivyo katika shirika linalozuia utumuamiaji wa madawa ya kuongeza michezoni   (USADA) .

MKASA WA TUHUMA  

USADA ilimvua Armstrong  mataji saba aliyowahi kushinda katika Mashindano ya Tour de France na kufumngia maisha kutokujihusisha na mchezo huo baada ya shirika hilo kumtuhumu kuwa yeye ndiye mtuhumiwa nambari moja ambaye katika historia haijawahi kutokea  
Lakini alipoulizwa kama watafnya kipimo hicho alisema wanaweza kufanya au wasifanye huwezi kujua lakini kwa sasa hatujafahamu 
Alikiambia kitua cha michezo cha BBC 

No comments:

Post a Comment