15 October 2012

BRAHIMU CLASS APEREKA SHANGWE KAMBI YA ILALA BAADA YA KUMTWANGA JONAS SEGU

 Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana masumbwi na Jonas Segu waakati wa mpambano wao uliofanyika jumapili siku ya kumbukumbu ya Baba wa tiafa Class alishinda kwa point.

No comments:

Post a Comment