30 October 2012

DUH HATA PAMBANO LA AMANI TUMEKUNG'UTWA MBELWA KAUMIZWA BEGA



Taarifa  ambazo tumepata hivi punde la pambano la masumbwi  baina ya bondia wa Afghanstan Hamid Rahimi na mtanzania, Said Mbelwa limemalikwisha  kwa Said Mbelwa kushindwa kuendelea baada ya kuumia bega na hivyo Hamid Ramimi kuwapewa ushindi wa technical knock out.

 Pambalo hilo  lilikuwa limepewa jina la "Pambano la Amani".

No comments:

Post a Comment