21 October 2012

Esperance HIYOO FAINALI



Esperance Imeingia fainali ya klabu bingwa afrika kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kushinda goli moja kwa sifuri dhidi ya  TP Mazembe kutoka jamhuri ya Kidemkrasia ya watu wa kongo  Baada ya Mlinzi  Mohamed Ben Mansour kufunga goli pekee huku zikiwa zimesalia dakika 20 mpira kwisha baada ya mpira wa faulo ya moja kwa moja kumgonga mlinzi wa timu hiyo. huu umekuwa ushindi mtamu kwa vijana hawa ambao huitwa kwa jina la utani Gold And Blood  mara baada ya  miaka miwili ambapo timu hiyo iliifungwa na Mazembe bao sita kwa bila .

No comments:

Post a Comment