HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

25 October 2012

FIFA Ballon d’Or Gala 2012 WANAWAKE


FIFA na Shirikilisho la soka la  France leo limetangaza majina na makocha watakao wania tuzo ya ubora wa fifa Ballon d’Or ambapo maamuzi yatafanywa na makocha na manahodha wa timu husika ambao watachaguliwa na timu husika  
Mshindi wa Tuzo hizo za jumla atapewa zawadi siku ya ugawaji zawadi katika sherehe itakayofanya huko  
 Zurich Kongresshaus on 7 January 2013, katika hizo pia itateuliwa kikosi cha wachezaji bora cha  FIFA FIFPro World XI,  Zawadi nyingine ni FIFA Puskás – Goli zuri zaidi la mwaka  – Rais bora wa  FIFA na  FIFA Fair Play .
Orodha ya Wachezaji wanaowania tuzo ya Uchezaji bora wanawake
Camille Abily (France), Miho Fukumoto (Japan), Carli Lloyd (USA), Marta (Brazil), Aya Miyama (Japan), Alex Morgan (USA), Megan Rapinoe (USA), Homare Sawa (Japan), Christine Sinclair (Canada), Abby Wambach (USA).
Orodha ya Makocha wanaowania ukocha Bora wa wanawake Dunia .
Bruno Bini (France/France national team), John Herdman (England/Canada national team), Patrice Lair (France/Olympique Lyonnais), Maren Meinert (Germany/Germany U-20 national team), Silvia Neid (Germany/Germany national team), Hope Powell (England/England national team), Norio Sasaki (Japan/Japan national team), Pia Sundhage (Sweden/USA national team), Steve Swanson (USA/USA U-20 national team), Hiroshi Yoshida (Japan/Japan U-20/U-17 national teams).

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers