HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

24 October 2012

Hearts YAWEKEWA NGUMU KUSAJIRI HADI 23 DECEMBER BAADA YA KUCHELEWESHA MISHAHARA YA MWEZI OKTOBA


Klabu ya soka ya Hearts: Inakabiliwa na mkasa wa adhabu wa kutokusajiri mchezaji mwingine hadi  December 23 baada ya kuchelewesha Ujira  kwa wachezaji na baadhi ya wafanyakazi wa timu hiyo  
Chama cha soka kimeifungia timu hiyo kutokusajiri mchezaji yoyote hadi Disemba 23 mwaka huu kwa kuchelewesha kulipa mishahara ya mwezi oktoba 
 Timu hiyo ilionywa na chama cha soka uskochi wiki hii kwa tatizo kama hilo liloikumba timu kwa mwezi Kenda 
kwa hari kama hii wachezaji sita na kocha wa timu hiyo  John McGlynn hawakulipwa  katika muda husika  kwa sasa adhabu itaikuta timu yeyote itakayaochelewesha kulipa mishahara kwa wachezaaji wake . 
 kwa adhabu hii sasa Hearts haitaruhusiwa kusajiri mchezaji hata kama atakuwa yupo huru . 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers