20 October 2012

KASEBA KAMLETA PROMOTA WA Evander HOLYFIELD Joel Andrews MWANANYAMALA



Bondia Evander Holyfield akiwa na Promota wa GYM yake ya Marekani Joel Andrews ambaye yupo nchini kwa ajili ya kusaka mabondia wa uzito wa juu kwenda kuishi nnje na kufanya mapambano yao Marekani

  

Marekani Joel Andrews wa pili kushoto akiwa na mabondia wa uzito wa juu waliojitokeza kwa ajili ya kuwaona na kufawafanyia mipango ya kwenda kucheza ngumi Marekani na kuishi huko kushoto ni 

Japhert Kaseba ambaye ndiye mwenyeji wake

No comments:

Post a Comment