22 October 2012

Lance Armstrong KUTEMESHWA KITITA CHA $7.5m


Lance Amstron ameatakiwa kurejesha pesa za bima ya uendesha baskeli ambayo alipewa kama Bonus katika michuano ya Tour De France kiasi cha Dola  $7.5m ambacho ni sawa na pauni (£4.7m) kutoka kwa kampuni ya  Texas  , Armstrong ambaye alichukua pesa isivyo kihalali mara baada ya kushinda kwa udanganyifu katika mkataba waliowekeana kisheria angepewa hizo kama angeshinda mashindano ya  2004 to 2006. Kampuni ililazimika kulipa  Dola $5m, na nyongeza ya  $2.5m katika ada ambayo ingeongezeka kutoka na ushindi huo  . SCA sasa inataka Amstrong Arejeshe Pesa hizo

No comments:

Post a Comment