HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 October 2012

LEO HII KATIKA LIGI YA MABINGWA ULAYA


Kocha mku wa klabu ya Aresnal mfaransa arsene Wenger amaesema kwa sasa kila timu inajikita katika katika ushindi kwani katika ligi ya mabingwa ulaya unachotakiwa kufanya ni kushinda mechi tatu nyumbani na moja ugenini na hilo ndio jambo la msingi kwani tumekwisha shinda ugenini bado nyumbani tofauti na wenzetu ambao wameshafungwa nyumbani 
SIKIZA HAPA 


wenger


Roberto Mancini leo anakibarua kigumu  zaidi kwani anawakaribsha Mabingwa wa ulaya Mwaka 1997 Borusia Dortmund kutoka ujerumani , ambapo anakiri kuwa Mechi itakuwa Ngumu kwani timu zote zimechezea kichapo mechi zao za kwanza 
SIKIZA HAPA
 
mancini



Zlatan Ibrahimovich Leo anashekherea sikuku yake ya kuzaliwa wakati timu yake itakapocheza na FC porto ya Ureno mchezaji huyu wa zamani wa Ajax na Ac Milan anaelezea maisha yake kwasasa ndani ya  klabu na mwanzo wa msimu huu katika makazi Mapya.



RATIBA KAMILI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO 







   

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers