31 October 2012

MAENDELEO YA VIWANJA BRAZIL 2014


Kati ya viwanja 12 vitakavyo chezewa fainali za kombe kla dunia  2014 FIFA ,Mashabiki wanaweza kupata ladha ya kinachoendelea kwa sasa  .Japokuwa viwanja vitakavyochezewa kombe la mabara 2013 havijamalizika bado ,bado havijaonekana kuvutia sana machoni pa watu  . lakini uwekezaji wa viti unawekwa kwa uangalizi wa hari ya juu kulingana na mdadi wa mashabiki kiwanjani 


Hivyo ni Baadhi ya viwanja ambavyo bado havijawa tayari .

No comments:

Post a Comment