HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 October 2012

OMOTE VS MATUMLA


Tangazo la tamasha la kimataifa la ngumi litakalofanyika mkoani mtwara ktk ukumbi wa MAKONDE BEACH RESOLT .

tamasha hilo litasimamiwa na ORGANAIZESHENI YA NGUMI ZA KULIPWA TANZANAI ---TPBO, na maandalizi ya tamasha hilo yanaendelea vizuri sana na bondia patrick amote kutoka kenya anatarajiwa kuwasili nchini tanzania tarehe 23-10-2012 tayari kuanza safari ya kuelekea mkoani MTWARA tarehe 24 -10 -2012.


No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers