24 October 2012

POLISI WATIWAKIZUIZINI NA YANGA TAIFA

Didier Kavumbagu akimtoka  beki wa polisi morogoro  Noel Msekwa

Klabu ya soka ya yanga ya jijini Dar Es salaam  imeibuka na  ushindi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara,  baada ya kupata ushindi dhidi  Polisi Morogoro mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Shedrack Nsajigwa wa Yanga na Paschal Maige wa Polisi Morogoro

Yanga sasa inatimiza   alama  17, katika mechi  tisa na kubaki nafasi ya Tatu  , nyuma ya Azam FC yenye  Alama  18, baada ya kutoa Droo ya 1-1 dhidi ya Ruvu Shooting Uwanja wa Chamazi, 
 
Mechi nyingine za  ligi ya premier Tanzania , Coastal Union imeifunga 1-0 African Lyon Uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga, Mtibwa Sugar imetoka sare ya 1-1 na Kagera Sugar Uwanja wa Manungu, Mkoani  Morogoro. 

No comments:

Post a Comment