12 October 2012

URUSI YAIBAMIZA URENO MOJA SIFURI



 Kerzhakov's alifunga goli la mapema ambalo lilitosha kutofautisha nani mbabe kati ya Urusi na Ureno katika kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia zitakazo fanyika huko Brazil mchezo ulichezwa huko  Moscow.

Kerzhakov's alimalizia mwanzo mzuri wa mechi tatu katika kundi F kwa kushinda mechi tatu katika kundi  F , wakati kipigo hicho kinaawacha wareno nyuma kwa alama tatu na kuwa na mwanzo mbaya katika michuano hiyo Russia sasa itakuwa na kazi moja ya kujiakikishia nafasi yake pale itakapo kwaana na Wenyeji wao   Azerbaijan siku ya Jumanne , wakati usiku huo Wareno watajaribu kurejesha mtililko wao wa ushindi pale watakapo wakaribishwa   Northern Ireland.

No comments:

Post a Comment