24 October 2012

WACHEZAJI WA TATU WA Guatemala WAFUNGIWA MAISHA KUJISHUGHURISHA NA SOKA


Baada ya kupokea uthibitisho uliotimia katika majalada ya Fifa mwenyekiti wa kamati ya nidhamu ya fifa  baada ya kusubiri maaumuzi yaliyofanywa kitaifa na chama cha soka cha Guatemala  na kusubiri maamuzi kutoka chama cha soka cha nchi hiyo  yaliyofanywa 23 October,  na kwakuwa upangaji wa matokeo unaathiri mchezo wa soka kiujumla . 

Kamati ya Nidhamu ya chama cha soka GFA,  baada yaa kufaanya uchunguzi wa kutosha na kufanyiwa  maamuzi  6 September 2012, ambapo sasa yamefika tamati  wachezaji . Guillermo Ramirez Ortega, Yony Wilson Flores Monroy na  Gustavo Adolfo Cabrera Marroquin wamefaungiwa na shirikisho na shirikisho la kimataifa la soka duniani FIFA kutojikuhusisha na mchezo wa soka na shughuri zozote zinazohusu mchezo wa soka katika maisha yao yote hapa dunia 
Ambapo walihusika katika upangaji wa mechi zifuatazo 
 Klabu bingwa ya amerika ya kati CONCACAF :kati ya  CSD Municipal v. Santos. 19 October 2010
Guatemala v. Venezuela. 1 June 2011
Costa Rica v. Guatemala. 25 May 2012
Maamuzi hayo ya fifa yanafanywa kwa kutumia kifungu na  136 katika kanuni za fifa 

No comments:

Post a Comment