17 November 2012

5-3,5-2,5-2 JE BOAS AMUWEZI WENGER

Arsenal5
Mertesacker 24′
Podolski 42′
Giroud 45′
Cazorla 60′
Walcott 90′
Tottenham2
Adebayor 10′
Bale 71′

Arsenal iliapata baada ya   Emmanuel Adebayor's kutolewa ne kwa kadi nyekundu na kjipatia ushindi ushindi ambao wa mabao matano kwa mawili dhifi ya wapinzani kutoka london ,Tottenham  na kujikita nafasi moja juu yao . 




 Adebayor aliiipatia goli la kuongoza  Spurs dhidi ya klabu yake ya zamani lakini alimchezea vibaya  Santi Cazorla.

 Per Mertesacker Alifunga kwa kichwa na kusawazisha na baadae Lukas Podolski na  Olivier Giroud walifunga kabla ya mapumziko na matokeo kuwa tatu moja .

 Cazorla alifunga goli la nne kabla ya   Gareth Bale kurejesha goli moja lakini ,Theo Walcott  alihitimisha ushindi baada ya kufunga bao la tano .

 Arsenal's huu umekuwa ushindi wa kwanza tangu Tar  27 October, na wameshinda kwa ushindi ambao waliifunga spurs mara ya mwisho.

Huyu kijana Thiery Henry  alikuwepo kiwanjani alikuwa amekaaa na sol campbell 

No comments:

Post a Comment