19 November 2012

Arsene Wenger :Asisitiza WALCOT HAUZWI MWEZI JANUARY


Hii inamaana Arsenal inaweza kumpoteza kijana huyu mwnye miaka 23  kama hawatafika makubariano nae ,Walcott 23 kandarasi yake inakwisha wakati wa kiangazi. 

Walcott atakuwa huru kutia kandarasi na klabu nyingine mwezi January kwani kisheria unaruhusiwa kufanya hivyo miezi sita kabla lakini kama hawatafika makubariano na klabu yake ya sasa.  

Mazungumzo ya kandarsi mpya yalisimama na alipoulizwa kuhusu makubariono yake na mchezaji kama atamuuza  2013, Kocha wa  Arsenal amesema hapana. 

No comments:

Post a Comment