8 November 2012

BAADA YA KUSIMAMISHWA SIMBA BOBAN ,NYOSO WAIBUKIA MUHIMBILI

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga, Iddi Moshi, akimtoka mdogo wake, Haruna Moshi, kiungo aliyesimamishwa Simba SC katika mazoezi ya timu ya Al Nasri kwenye Uwanja wa shule ya msingi Muhimbili, Dar es Salaam jioni ya leo. 


Mohamed Bin Slum akimiliki mpira mbele ya Hussein Kaburu na Juma Nyosso

No comments:

Post a Comment