HABARI MPENZI MWANAMICHEZO KARIBU KATIKA KURASA HII MAHSUSI KWA HABARI ZA MICHEZO PIA UNAWEZA KUTANGAZA BIASHARA YAKO HAPA KWA BEI NAFUU ZAIDI KWA MUDA MREFU ZAIDI WASILIANA NASI KWA NAMBA +255713 15 33 48

3 November 2012

CHELSEA YASHIKWA FLANA NA SWANSEA CITY


Fulham 2-2 Everton
Norwich 1-0 Stoke
Sunderland 0-1 Aston Villa
Swansea 1-1 Chelsea
Tottenham 0-1 Wigan


Chelsea imeshindwa kurejea kileleni mwa ligi ya  Premier Uingereza  kwa kuitoa  Manchester United baada ya kuruhusu goli dakika zaa mwisho dhidi Swansea  

 ilionekana kama  Chelsea wamekwisha jiakikishia ushindi baada ya kupata goli kwa mpira ulio mparaza Victor Moses kichwani . 

 Lakini  Pablo Hernandez  alimfunga  Petr Cech dakika mbili kabla ya mpira kumalizika na hivyo kutoka na  angalau alam moja .
 Gary Cahill, ambaye alitengeneza goli la kwanza la Chelsea alipiga kichwa na  mpira wake uliokorewa na Danny Graham's . 

 Goli lilofungwa na Hernandez's liliiweka Chelsea katika wakati mbaya kwani hawaakuwa na muda wa kurejesha goli hilo huku wakiwa wamegubikwana na mzozo unaendelea wakimtuhumu  Mwamuzi  Mark Clattenburg kwa kuwatolea maneno ya kibaguzi baadhi ya wachezaji wa Chelsea siku ya jumapili Dhidi united ambapo ilifungwa mabao  3-2 

No comments:

Post a Comment

lisungu_chisara@yahoo.com

TUTUMIE HABARI YOYOTE YA MICHEZO, BURUDANI TUTAZICHAPISHA

TANGAZA KWA MFUMO HUU


MAHUDHURIO YA WASOMAJI KIMATAIFA

free counters

Followers