4 November 2012

ICE CREAM ZA YEYUKA NA JUA LA JANGWANI

Simon Msuva wa Yanga akiwa anakimbia na mpira baada ya kumtoka   Agrey Morris wa Azam katika mchezo wa ligi ya premier ambapo yanga imeshinda magoli mawili kwa bila 
Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza dhdi ya azam fc katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam .

No comments:

Post a Comment