15 November 2012

KAMA HUJAONA GOLI LA ZLATAN HILI HAPA NI ZAIDI YA GOLI NIPE MAONI YAKO WEWE WASEMAJE

 Zlatan Ibrahimovic's ambaye goli lake la nne Dhidi ya uingereza alilofunga Jumatano  limepewa heshima ya goli bora  ambalo halijawahi kufungwa katika soka kwa wale ambao hawajaona goli hilo hasa ikiwa ni mechi ya ufunguzi wa kiwanja kipya K-SPORT.COM kwa msaada wa mitandao ya ulaya imepata   picha zaa Runinga je wewe unaonaje goli nipe maoni yako 

No comments:

Post a Comment