12 November 2012

KOMBE LA CECAFA CHALENGE B: Sudan, Tanzania, Burundi, Somalia ,Walya kufungua Dimba na sukusini


Timu ya soka ya taifa ya Ethiopia itakwaana na bingwa mtetezi wa michuano ya   Cecafa Tusker Challenge  itakayo fanyika  Uganda.
 Ethiopia ambao jina lao la utani Waliya ambao ni timu pekee kwenye ukanda huu wa afrika mashariki  ambayo imefuzu kwa fainaliza mataifa ya africa 2013  imepangwa kuindi moja na  -  Kenya, na timu mpya ya Sudan kusini na bingwa mtetezi  Uganda katika kundi  A.
 Mashindano hayo yataanza 24 November and 6 December,  na yalipangwa katika hotel ya  Serena Hotel  katika jiji la  Kampala na katibu mkuu wa  Cecafa  Nicholas Musonye.
 Ethiopia  itacheza mechi ya ufunguzi dhidi ya timu mpya ya sudan kusini 

MAKUNDI CECAFA

A: Uganda, Ethiopia, Kenya, South Sudan

B: Sudan, Tanzania, Burundi, Somalia

C: Rwanda, Malawi, Zanzibar, Eritrea

No comments:

Post a Comment