3 November 2012

MESI KASHINDWA KUMPATIA MWANAE GOLI



Lionel Messi ameshindwa kumfungia mwanae goli katika sikukuu ya kuzaliwa kwa mtoto wa ambaye amempa jezi namba kumi ya na kumptia jina la THIAGO MESI Katika ushindi wa bao tatu moa dhidi ya  Celta Vigo.


Magoli matatu yaliyofungwa ndani ya dakika tano  yalitosha kabisa kuilipua celta vigo baada ya dakika  ishirini kwa Mark  Adriano na David Villa walipofunga magoli kwa timu zao  . Jordi Alba alihitimisha ushindi wa kabla ya mchezo haujamalizika mesi ameshindwa kufunga  kwa kumpatia mwanawe goli la kuzaliwa kwake  .

No comments:

Post a Comment